KAKOSEA MAULANA

Von:
User: WMwero
KAKOSEA MAULANA

KAKOSEA MAULANA?’ ni kitabu chenye mkusanyiko wa mashairi wenye ulemavu. Kundi linalohusu watu wenye ulemavu ni miongoni mwa makundi yanayokabiliwa na changamoto nyingi katika masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Changamoto nyingi zinazowakabili hutokana na baadhi ya watu wasio na ulemavu kuwa na ufahamu mdogo kuhusiana na watu wenye ulemavu. Ulemavu ni changamoto wanayoweza kuikabili endapo jamii haitayapuuza mahitaji yao. Pia jamii inapaswa kufahamu kuna nyakati watu wenye ulemavu huwezeshwa pale baadhi ya wazazi/walezi wao wanapowezeshwa.Kitabu hiki kinafaa kusomwa na makundi yote ya watu ila kinawafaa zaidi kundi la watu wasio kuwa na ulemavu.


Beiträge und Kommentare
Um eine optimale Funktionsweise zu gewährleisten, verwendet unsere Website Cookies. Durch die Nutzung der Website stimmst Du der Verwendung von Cookies zu. Mehr Infos
OK
Top of page
Kein Miniaturbild Entfernen Bitte wähle einen Grund aus Bitte gib die Stelle im Buch an. de de_DE