Cover

Leseprobe

Nitawezaje
kuingia Mbinguni?

Watu wengi hulikwepa swali la milele. Twaona hayo hata kwa wale ambao hufikiria hatima yao. Mwigizaji msanifu wa filamu wa kimarekani Drew Barrymoore (kuz. 1975) amemwigiza mtoto katika filamu ya »E.T.«. Alipofikia umri wa miaka ishirininanane akatamka: »Iwapo nitafariki kabla ya paka wangu, alishwe jivu la maiti yangu. Ndivyo nitakavyoendelea kuishi ndani ya paka wangu.« Je, hali hii ya kutoelewa na mtazamo mfupi kwa mauti haisikitishi?

Wakati wa Yesu watu wengi wakamjia. Mara nyingi mahitaji yao yalikuwa ya kudunia:

• Wenye ukoma kumi walitaka kupona (Luka 17:13),

• Vipofu walitaka kuona tena (Mathayo 9:27),

• Mtu fulani alitaka kusaidiwa kwa ugomvi wa uridhi (Luka 12:13-14),

• Mafarisayo wakaja na swali la mtego, kama ni halali kulipa kodi kwa Kaisari (Mathayo 22:17).

Watu wachache tu wakaja kwa Yesu, ili wafundishwe jinsi ya kuingia Mbinguni. Kiongozi kijana tajiri akamjia na swali: »Mwalimu mwema, nifanye nini ili nipate kuurithi uzima wa milele?« (Luka 18:18). Akaambiwa afanye nini: auze yote ambayo moyo wake umeyashika na kumfuata

Impressum

Tag der Veröffentlichung: 22.08.2018

Alle Rechte vorbehalten

Widmung:
Watu wengi hulikwepa swali la milele. Twaona hayo hata kwa wale ambao hufikiria hatima yao. Mwigizaji msanifu wa filamu wa kimarekani Drew Barrymoore (kuz. 1975) amemwigiza mtoto katika filamu ya »E.T.«. Alipofikia umri wa miaka ishirininanane akatamka: »Iwapo nitafariki kabla ya paka wangu, alishwe jivu la maiti yangu. Ndivyo nitakavyoendelea kuishi ndani ya paka wangu.« Je, hali hii ya kutoelewa na mtazamo mfupi kwa mauti haisikitishi? Wakati wa Yesu watu wengi wakamjia. Mara nyingi mahitaji yao yalikuwa ya kudunia: • Wenye ukoma kumi walitaka kupona (Luka 17:13),...

Nächste Seite
Seite 1 /